Uma umri gan?Hbr zza usku wajameni ninaumwa kichwa ambacho hakiskii dawa wala chochote hadi sa nyingne nashindwa kuongea wala kula mnisaidie, sjui tatizo n nn? Msaada nifanyeje ama nina ugonjwa unaosababisha hv sjui, yaan kinaweza kufululiza hata sku tano tu. Sa hv mpaka nishaacha kunywa pain killer kabisa
Mkuu inaonekana umeumwa muda mrefu je umeshaenda kwa wataalam hospitalini? Nenda hospitali za wilaya au Mkoa. Utafanyiwa uchunguziHbr zza usku wajameni ninaumwa kichwa ambacho hakiskii dawa wala chochote hadi sa nyingne nashindwa kuongea wala kula mnisaidie, sjui tatizo n nn? Msaada nifanyeje ama nina ugonjwa unaosababisha hv sjui, yaan kinaweza kufululiza hata sku tano tu. Sa hv mpaka nishaacha kunywa pain killer kabisa. Nkinywa maji sasa yaan nkienda kukojoa inabdi nishikilie mishipa ya kichwa ndo kinazdi kabisa
Ana MigraineWewe ni me au ke? huenda unasumbuliwa na sinona au stress kama umeshaenda hospitalini. Nijuze huenda kuna tatizo limo moyoni mwako na akilini mwako. Njoo pm kama hutojali.
1. Acha kabisa painkillers kwa sasa – maana tayari umesema hazifanyi kazi, na kuzitumia kupita kiasi kunaweza kuharibu ini au figo.Hbr zza usku wajameni ninaumwa kichwa ambacho hakiskii dawa wala chochote hadi sa nyingne nashindwa kuongea wala kula mnisaidie, sjui tatizo n nn? Msaada nifanyeje ama nina ugonjwa unaosababisha hv sjui, yaan kinaweza kufululiza hata sku tano tu. Sa hv mpaka nishaacha kunywa pain killer kabisa. Nkinywa maji sasa yaan nkienda kukojoa inabdi nishikilie mishipa ya kichwa ndo kinazdi kabis
Walokole kweli mataahiraUmeokoka ?
✌🏾✌🏾✌🏾☺️😍🤩🤩 Naomba Mungu asikie hapo na wewe ukisema Kuwa mimi ni Mlokole, ijulikane hivo duniani na MbinguniWalokole kweli mataahira
Mmmmhmn migraine kweli? Basi kama ni chronic migraine inabidi atest kwa kuweka miguu kwenye beseni la maji ya moto then from there tuone.Ana Migraine
Tafta chumvi ya mawe kunywa maji yakeHbr zza usku wajameni ninaumwa kichwa ambacho hakiskii dawa wala chochote hadi sa nyingne nashindwa kuongea wala kula mnisaidie, sjui tatizo n nn? Msaada nifanyeje ama nina ugonjwa unaosababisha hv sjui, yaan kinaweza kufululiza hata sku tano tu. Sa hv mpaka nishaacha kunywa pain killer kabisa. Nkinywa maji sasa yaan nkienda kukojoa inabdi nishikilie mishipa ya kichwa ndo kinazdi kabisa
Hbr zza usku wajameni ninaumwa kichwa ambacho hakiskii dawa wala chochote hadi sa nyingne nashindwa kuongea wala kula mnisaidie, sjui tatizo n nn? Msaada nifanyeje ama nina ugonjwa unaosababisha hv sjui, yaan kinaweza kufululiza hata sku tano tu. Sa hv mpaka nishaacha kunywa pain killer kabisa. Nkinywa maji sasa yaan nkienda kukojoa inabdi nishikilie mishipa ya kichwa ndo kinazdi kabisa
ushawahi kutembea na mke wa mtu au umewah kumdhurumu mtu haki yake?Hbr zza usku wajameni ninaumwa kichwa ambacho hakiskii dawa wala chochote hadi sa nyingne nashindwa kuongea wala kula mnisaidie, sjui tatizo n nn? Msaada nifanyeje ama nina ugonjwa unaosababisha hv sjui, yaan kinaweza kufululiza hata sku tano tu. Sa hv mpaka nishaacha kunywa pain killer kabisa. Nkinywa maji sasa yaan nkienda kukojoa inabdi nishikilie mishipa ya kichwa ndo kinazdi kabisa