walaiiiiii :couch2:Ni kipindi kirefu sana sikuoni, nikituma Pm hata hujibu, nakutafuta kwenye simu,whatssap, facebook hata instagram naona sikupati.
Hebu uje bibie christine ibrahim nmekumis sana mumeo hata usingizi sipati, watoto wanakulilia mama uko wapi?
Naomba miss chagga , Khantwe, nameless girl mkae kimya hapa nipo na maza hausi