Well, political unrest katika nchi yoyote huanzia kwenye miji mikubwa; kwa hiyo unrest hapo Bujumbura ni reflection ya situation ndani ya Burundi. Kumbuka kuwa machafuko ya Tunis ndiyo yaliyomundoa rais Ben Ali, na vile vile machafuko ya Cairo ndiyo yaliyomuondoa Mubarak; hayakuwa machafuko ya nchi nzima.