Wengine ni wachambuzi wa mchele tu mkuu wazoee!Mugalu.
Mechi mbili, goli mbili...
Ndugu yangu mpira haupo hivyo unavyofikiri...
Quick movements zipi unazosemea? Au ndo bora mradi umechambua?
Leo kapata clear chance moja na goli moja.....
Anaweza asiwe mzuri ila sio kama ulivyochambua wewe.
Jamaa nimemshangaa ananiambia Mugalu hana accuracy.Wengine ni wachambuzi wa mchele tu mkuu wazoee!
Mchezaji mzuri hajifichi anaonekana tu Bwalya alicheza mechi moja tu kila mtu alikubali kiwango chake Ila Yule jamaa anacheza Kama kiungo kumbe strikerJamaa nimemshangaa ananiambia Mugalu hana accuracy...
Tangu aje kacheza dakika 61 tu na goli mbili ( mechi ya kwanza 45 na hii 16)
Nilichogundua ni kua unakariri uchezaji wa watu, yaani wewe unataka acheza ka anavyocheza boko au kagere, ungekua na jicho la kuangalia kiufundi ungezugumzia ubora wake kwenye timu kuliko kuangalia acheze ka mtu flani achezeHabari zenu wakuu,
Mchezo Kati ya SIMBA SC dhidi ya BIASHARA UNITED umemalizika kwa ushindi mnono baada ya Mnyama kumchakaza mtu kwa jumla ya mabao manne kwa nunge...
Mikia fc buana.
UTO'kama UTOMikia fc buana.
ndivyo alivyofanya goli zake 2. atapokea anapiga. Hata jana kuna goli alikosa kwa kukutana na kipa,alipokea akasogeza kipa akamuwahi. Huyu ni strikerMbona yuko vizuri uyo jamaa.hao ni wale washambuliaji ambao hawataki mambo mengi uwanjani kazi yake ni kupiga mpira golini tu sio kutafuta mbwembwe na kukurukakara zisizo nalazima.Na namba anayocheza inamruhusu asiwe na mambo labda kama atakua anashindwa kujiposition vizuri.Tumpe muda.