Choose your friends wisely.

Hii kali hata hivyo message delivered
 
Ndio marafiki zetu hao. Usiwakaribishe sana kwenye maisha yako. Siku ukidondoka they will take advantage of u just like that
 
Hahahaaa....yan nimecheka kwa uchungu daaah...
 
Duh, wamepanga foleni wapige kwa zamu. Wakimaliza wote hao atakuwa marehemu.Ujumbe umefika japo njia ya kuufikisha inatia ukakasi.
 
It's funny, lakini message inagusa maisha yetu ya kila siku.
 
Hii Sijaielewa Vizuri.Ngoja Nipite Kwanza Pembeni Labda Ntarudi Tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…