Jamaa kaingia chooni na kopo lake la maji lakini kama kawaida bila kipande cha sabuni.Choo hiki kina mlango mzuri na maarufu- gunia bovu ambalo mtu hawezi kugonga na hivyo inabidi uwe makini kuwasignal jamaaa wanaotaka kuingia na signal yenyewe ni kukohoa kwa kuguna kuaashiria upo nyumba kuu.
Jamaa kavua suruwili yake mpaka mapajani;ile anaanza shughuli jogoo likapita jamaa kakohoa.Mamba yanaanza kushuka kapita mbwa ikabidi akohoe tena.Wakati mambo yanakuwa matamu kapita mtoto ikabidi akohoe sana ili watu wajue.............Atakohoa mara ngapi?Mpeni pole!!:happy::crazy::iamwithstupid: