ukawa yule jaji lubuva si mmeona anavyopelekeshwa na serikali......hamkuona kwenye suala kura ya maoni?haiaminikibwana,shauri lenu,mtaibiwa,halafu uchochoro mwingine ni simple majority,inatakiwa mshindi apate asilimia 50 + 1Wasalaam jf,
Viongoz wetu wa UKAWA nawashangaa mnavyotuhamasisha kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ila hatuoni mkifanya mchakato wa kushinikiza serikali tupate TUME HURU YA UCHAGUZI .
Ninachokiamini ni kwamba tutawapigia kura UKAWA mtashinda,ila tume ya uchaguz ikawa ileile tusitegemee mabadiliko yoyote.
Mi nawashangaa mnakuwa kama vile mnaishi Sweden halaf hamuijui serikali yetu.
Kitu kingne ni kwamba kumekuwa na UHUJUMU WA KURA almost chaguz zote lazima jambo hili lijitokeze,,cha kushangaza ni kwamba ninyi tuliowapigia mnaishia kulalamika na kulialia kama sis wapiga kura..Kwan mnataka tuwasaidie kuzilinda kivip?
please nawaomba mtulindie kura zetu jaman,sis kaz yetu ni kupiga kura ssa linapokuja suala la wzi wa kura hapo mnatuvunja moyo.
Mwaka huu tumejpanga kufanya mabadiliko ya kihistoria kwahiyo tunaomba mtutie moyo mtuongoze mpaka kuifikia TANZANIA HALISI
asanteni.
.kweli mkuu sijui kwnn hawashtukii swala hilo litawagharimu!Wasalaam jf,

ukawa yule jaji lubuva si mmeona anavyopelekeshwa na serikali......hamkuona kwenye suala kura ya maoni?haiaminikibwana,shauri lenu,mtaibiwa,halafu uchochoro mwingine ni simple majority,inatakiwa mshindi apate asilimia 50 + 1
wachawi wa nchi yetu hakuna haja ya kuwaendea kwa mganga
nmemtuma gwajima akuletee maharage