Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Kwanza napenda kukiri kwamba mchakato wa kumpata mtu wa kupeperusha bendera ya CCM kwa nafasi ya urais ilikiukwa waziwazi pale Dodoma.Tunajua Lowassa unamengi moyoni ya kuzungumza lkn uyazungumze hayo kupitia kwenye vikao vyetu kama katiba ya chama ilivyo.
Hatujakufukuza ktk chama tunaamini wewe unaijua vizuri sana CCM kuliko sisi,achana na uamuzi wa kuhama CCM kwani wewe bado nilulu ndani ya chama hiki na bado unavitajika sana kuliko wkt mwingine,ualuzi wa kuhama chama utaiathiri CCM kwa upande mmoja lkn nibaya zaidi utajivunjia heshima ndani ya jamii.
TUPO PAMOJA LOWASSA
dah jamani CCm wamrudishe kama kuna uwezekaano maana dah chama letu linakufa daah lowasa plz usihame
Kwanza napenda kukiri kwamba mchakato wa kumpata mtu wa kupeperusha bendera ya CCM kwa nafasi ya urais ilikiukwa waziwazi pale Dodoma.Tunajua Lowassa unamengi moyoni ya kuzungumza lkn uyazungumze hayo kupitia kwenye vikao vyetu kama katiba ya chama ilivyo.
Hatujakufukuza ktk chama tunaamini wewe unaijua vizuri sana CCM kuliko sisi,achana na uamuzi wa kuhama CCM kwani wewe bado nilulu ndani ya chama hiki na bado unavitajika sana kuliko wkt mwingine,ualuzi wa kuhama chama utaiathiri CCM kwa upande mmoja lkn nibaya zaidi utajivunjia heshima ndani ya jamii.
TUPO PAMOJA LOWASSA
Hivi lowasa anaama kweli,uku mtaani moto mkali sana.
Mbona lizabon leo simuon humu Jf kulikon
Sioni cha kumzuia kuondoka au kutokuondoka lakini kabla ya mchakato wa kumkata aujafika alipewa habari ya kukatwa na yeye aliita wandishi wa habari na kusema hata jina lake likikatwa hata hama chama, sasa ililinalokuja linatoka wapi? au wapambe ndio wanatoa habari hizi? KWA UJUMLA lowasa afai kuwa Raisi na ata akija chadema atapigwa chini tu. anauwezo wa kumshinda Mkufuli. kwanza amekaa serikalini miaka mingi kuliko makufuli alichokifanya kikowapi? zaidi ya makufuli amepew uwaziri mkuu kwa kupendelewa alichokifanya kila mtu anajua, mimi ni mwanachama wa chadema tangia mwaka 1994, chadema na iasa ipokee lakini asiwekwe kugombea Uraisi kwa mwaka huu mpaka kipindi kingine Lakini wakimueka Taswila ya chadema itakuwa mbaya sana kwa ummaKwanza napenda kukiri kwamba mchakato wa kumpata mtu wa kupeperusha bendera ya CCM kwa nafasi ya urais ilikiukwa waziwazi pale Dodoma.Tunajua Lowassa unamengi moyoni ya kuzungumza lkn uyazungumze hayo kupitia kwenye vikao vyetu kama katiba ya chama ilivyo.
Hatujakufukuza ktk chama tunaamini wewe unaijua vizuri sana CCM kuliko sisi,achana na uamuzi wa kuhama CCM kwani wewe bado nilulu ndani ya chama hiki na bado unavitajika sana kuliko wkt mwingine,ualuzi wa kuhama chama utaiathiri CCM kwa upande mmoja lkn nibaya zaidi utajivunjia heshima ndani ya jamii.
TUPO PAMOJA LOWASSA
Sio Siri kwa sasa mtu pekee anayeweza kumshawishi Lowasa asihame chama ni Magufuli. Vinginevyo Mtaji wa wapiga kura wa Lowasa kamwe hatozipataKwanza napenda kukiri kwamba mchakato wa kumpata mtu wa kupeperusha bendera ya CCM kwa nafasi ya urais ilikiukwa waziwazi pale Dodoma.Tunajua Lowassa unamengi moyoni ya kuzungumza lkn uyazungumze hayo kupitia kwenye vikao vyetu kama katiba ya chama ilivyo.