Chombezo

Joined
Jul 3, 2018
Posts
3
Reaction score
1
Naumia nionapo chozi lako sihitaji kuona michirizi ya huzuni katika mashavu yako ingawa mapenzi uvumilivu ,usikivu nashukuru

Masikio yangu yana mwangwi wa sauti tulivu itokayo kinywani mwako maneno yako matam ya upendo yananifanya nijihisi nipo peponi nikila upepo nahisi amani sana ukiwepo karibu nami

nitunzie heshima wangu mwandani ya ndani tuyaache ndani tusiwanufaishe majirani tuyamalize chumbani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…