Wamakonde wa sehemu fulani walikuwa wanaogopa sana maiti.Na hivyo akifa mtu hawamziki na wanahama kabisa kijiji. Lakini siku moja ikabidi kabla ya kuhama kijiji kumwambia maiti kuwa: Chacha chikiliza wewe marehemu,chichi tunahama tunakwenda kijiji cha mbali.Akija huyo kifo uchimwambie kama tumehama,ila mwambie kijiji kizima ulibaki peke yako asije akatufuata huko tunakoenda. Baaa