Mkuu MB funguka basi!
Mkuu MB funguka basi!.Habari za majukumu wakuu. Kama uliomba hio kitu hapo juu kaa mkao wa kuitwa. MIE nimeitwa leo via SMS
Kuna Tetesi ni kesho,sijui zina ukweli?Watatoa mwisho wa mwezi huu
Kuna hii msg ya congratulation ya csc,hivi wadau wote waliopata scholarship wametumiwa au baadhi tu?
Daaa hizo scholarship acha tu; kuna usanii wa kufa mtu, unaweza pata chuo na kule jina lipo ila wizara wakakukata bila Aibu; wakapachika kilaza wao aliotoa pesa! Acha tu
Imetumwa ilingia juzi usiku,ila wadau wengi waliziona jana asubuhi.
Payer,punguza hasira,subiri mpaka simu za wizara zipigwe wk ijayo,sema mtu unaweza kulowaswa any time