Chinese Domination

selemala

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2007
Posts
384
Reaction score
263



The pattern is repetitive.
The strategies and motive are clear.

An informed common man should be able to see this, but can our dictatorial decision makers do?

Europeans developed the Western world, Asians are developing their own. Why are Africans looking for someone else to develop Africa?
 
...can our dictatorial decision makers do?

Hapa seremala utaambiwa mjadala umefungwa
 
China anawatia sana malofa na Mademu wanopenda vya Dezo... so hizo mitego ya Panya ndio anawanasia anakuja na maproject ya billions of Dollars and then anajenga yeye ukishindwa kulipa anajipania miaka mia kuendesha Bandari kama yake ajilipe huo ni undezi sana... I hope Bandari ya Bagamayo mpango ni huo huo kama wa Vanuatu... ni kama mtu anayejichukulia viwanja nchi yeyote tu ile we have to be aware of these chinese people akijifanya anakukopesha Tangaza Tender Dunia nzima kampuni zishindanishwe waumbuke kama Mradi wa Rail ya Kisasa walimind sana baada ya kustukiwa... Hivi Nchi inashindwaje kuchukua tenda yenyewe kisha ikatangaza nafasi za kazi kwa Wataalamu Dunia Nzima waje tuwafanyishe kazi za vibarua kama Qatar wanavyofanya... viwanja vya mpira wamejenga wahindi cheap labor kwa project kubwa sana... tufunguke akili... bado akili zetu zile zile za kukodisha Generator lituzalishie Umeme kwa Mkataba wa ajabu ati Tanesco haiwezi kununua majenereta yake yenyewe kha! sasa hadi Madaraja ya rail tunajengewa na vvibarua ndio tunakuwa sisi wenyewe ebo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…