Iwashe mapema iache ONKwenye sound ipo decent
Kuna muda nashindwa kuiwasha kwasababu naogopa kusumbua watu
kuna kadude ndani ukitoa hazipigi keleleIkibidi matoleo yajayo waondoe vile vi-alert vya bloototh on/off, FM radio. kwa mtizamo wangu havina umuhimu.
Nilinunua moja inaitwa LP kwa 15k
Tatizo lake kubwa inapiga kelele balaa wakati unapoiwasha, aisee ile kelele nyumba nzima wanaamka ukiiwasha usiku
SahihiIkibidi matoleo yajayo waondoe vile vi-alert vya bloototh on/off, FM radio. kwa mtizamo wangu havina umuhimu.
HahahaZe blutus divais is conektidas saksesfulli[emoji23][emoji23][emoji23]
Una lazima na Bluetooth? Wired speaker sometime zina quality kubwa na bei nafuu, mfano vile vispika vya computer vinapiga sana,Wakuu sio wote tunao weza ku afford kununua super brand zenye quality kubwa kama JBL, BOSE, ENKER, SONY, ORAIMO nk nk
Hata hivyo madukani zimejaa Chinese Bluetooth speakers nyingi za kila aina
Kama kawaida ya mchina anabidhaa anavutunda sana na zingine zinakua na unafuu kidogo
Lengo la uzi huu ni kutaja aina nzuri na yenye unafuu kwa hizi chinese speakers kama unazijua au umewahi kutumia
Bajeti 30k
Nilinunua moja inaitwa LP kwa 15k
Tatizo lake kubwa inapiga kelele balaa wakati unapoiwasha, aisee ile kelele nyumba nzima wanaamka ukiiwasha usiku [emoji23][emoji23]
Na hakuna option ya kuizima hiyo on/off sound
Kwenye sound ipo decent
Kuna muda nashindwa kuiwasha kwasababu naogopa kusumbua watu
Iwashe mapema iache ON
Chomeka earphones washa, chomoa kula Ngoma.
Ikibidi matoleo yajayo waondoe vile vi-alert vya bloototh on/off, FM radio. kwa mtizamo wangu havina umuhimu.
kuna kadude ndani ukitoa hazipigi kelele
Una lazima na Bluetooth? Wired speaker sometime zina quality kubwa na bei nafuu, mfano vile vispika vya computer vinapiga sana,
Kuhusu Bluetooth speaker kama Kilangi masanja alivyosema hapo juu Anker ni mchina, bei zake zinaanzia around 50,000 unaweza ukajiongeza kidogo ukavuta moja Aliexpress.
Probably feki. Anker unanunua Aliexpress.Mkuu nahitaji Bluetooth
Halafu hizo Anker mbona sizioni madukani ?
Nilikua nafikiria nichukue labda Oraimo ya 65k una uzoefu nayo?
Nilikatiza kariakoo nikakutana na JBL za kumwaga
Jbl Go 3 wengine 50k wengine 80k wengine 120k
Hizi zitakua fake?
Vipi quality yake na ufake wake?