cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,382
- 2,416
Ndio kiongozi story ya bar nyokaa iliisha alipo taka kujibu risasi za wazee sakina bar alafu alikua amelewa sana.Kuna ile stori ya nyoka nayo kali aisee
Mkuu king kola alikua mtata hasa akitimba viavia na metropol lazima mtajua yupo ndani ya nyumba.Kingkola ni nyoko
Alimkosa mtu kichwa akaingia kwenye pool..Kingkola ni nyoko
Mkuu donii sikuhizi teja nilikuwa sijuiMkuu king kola alikua mtata hasa akitimba viavia na metropol lazima mtajua yupo ndani ya nyumba.
Story zote ni za ukweli binafsi nilipata kumuona nyokaa,Tumbonii na brother yake safarii pia donii aliye imbwa kwenye ngoma ya mjeshi huyu donii bado yupo hai alikua ni member wa watengwa skuiz mchiz kaaribiwa sana na madawa.
Nasikia walimtumia manzi kumkamataNdio kiongozi story ya bar nyokaa iliisha alipo taka kujibu risasi za wazee sakina bar alafu alikua amelewa sana.
Donii alishaacha madawa longtime sana na siku si mingi sana amefariki R.I.P mkali wa miondoko huruMkuu king kola alikua mtata hasa akitimba viavia na metropol lazima mtajua yupo ndani ya nyumba.
Story zote ni za ukweli binafsi nilipata kumuona nyokaa,Tumbonii na brother yake safarii pia donii aliye imbwa kwenye ngoma ya mjeshi huyu donii bado yupo hai alikua ni member wa watengwa skuiz mchiz kaaribiwa sana na madawa.
Donii alifariki mwaka huu mwezi wa tatu (May his soul rest in power) sijui nawezaje kuweka hizi nyimbo humu nnazo zote kwenye simu! Kuhusu King Kola (R.I.P) nlikuwa nyoka wake alikuwa ananituma sana viatu (njumu)akiwa anachezea waya mkali miaka hyo ya late 90's nkiwa shule ila ngwengwe haina baunsa ikambeba.....Mkuu king kola alikua mtata hasa akitimba viavia na metropol lazima mtajua yupo ndani ya nyumba.
Story zote ni za ukweli binafsi nilipata kumuona nyokaa,Tumbonii na brother yake safarii pia donii aliye imbwa kwenye ngoma ya mjeshi huyu donii bado yupo hai alikua ni member wa watengwa skuiz mchiz kaaribiwa sana na madawa.
Aisee donii amefariki R.I.P mara ya mwisho nilimuona triple A alishinda shindano la freestyle alaf akadakwa na wazee kabla hajashuka stage.Donii alifariki mwaka huu mwezi wa tatu (May his soul rest in power) sijui nawezaje kuweka hizi nyimbo humu nnazo zote kwenye simu! Kuhusu King Kola (R.I.P) nlikuwa nyoka wake alikuwa ananituma sana viatu (njumu)akiwa anachezea waya mkali miaka hyo ya late 90's nkiwa shule ila ngwengwe haina baunsa ikambeba.....
Ktk wababe wa kipindi kile amebaki Idii Mkuluu, Elijah baunsa
Mkuu, unao na ule wimbo wa kichka cha nondo wa BontaDonii alifariki mwaka huu mwezi wa tatu (May his soul rest in power) sijui nawezaje kuweka hizi nyimbo humu nnazo zote kwenye simu! Kuhusu King Kola (R.I.P) nlikuwa nyoka wake alikuwa ananituma sana viatu (njumu)akiwa anachezea waya mkali miaka hyo ya late 90's nkiwa shule ila ngwengwe haina baunsa ikambeba.....
Ktk wababe wa kipindi kile amebaki Idii Mkuluu, Elijah baunsa