Ninasoma kitabu kimoja (draft ya PhD) na imeandikwa na mdhugnu lakini amekuwa muwazi kuhus China in Africa...
Hawa jamaa ni mara elfu kulinganisha na westerners...hawana unafiki na sera zao za international relations ziko wazi zaidi...nimezidi kuwapenda...walianza kutoa since wakiwa masikini tu...na kuna kipindi walikuwa wanaisaidia Mongolia ela ambayo inafanya per capita aid ya Mongolia kuwa kubwa kuliko per capita income ya wachina wenyewe...
Na kwa kuwa wao walitawaliwa kwenye sera yao wameweka wazi kuwa hawako tayari kutumia aid ku dominate nchi nyingine...nimewapenda buuuree...