Hata hivyo muda bado sana ,china tofauti na usa, hawajapata misukosuko ya mahusiano kimataifa ndio maana njia yao inaonekana ni smooth sana, na kwakuwa wanawekeza katika nchi zetu hata zile zenye political instability hivyo itabidi baadae wajiingize hata kwenye vita watakapoona ustawi wao na wa wananchi wao unadhohofishwa kwa namna moja ama nyingine na nchi nyingine ama vikundi mbalimbali duniani kama ambavyo usa ilivyojiingiza mpaka sasa.vilevile ukijumuisha na ukubwa wa population ya wananchi wa jamhuri ya china, wanaweza kuhaha sana. Time will tell. Hakuna mwerevu kuliko mwingine katika dunia.