China imeishinda Corona

Hao watu 7 nawasikia tu! Nipe habari zao kwa kina, maana hata mimi najiuliza kuwa how nchi ambayo sio G8 yenye watu 1.6 Billion watokomeze Corona kwa haraka hivi?
Ila nchi za kijamaa kwa siri, naziamkia shikamoo!
 
Sirinyingi ambazo mpaka ww mkikuyu mwenzangu imezijua zinaweza kua siri kwel ?!

Sent using My COVID-19
 
Ni hivi 5G ina radiation ambazo zinaua kinga ya mwili (immune) sio kwamba ina hiko kirusi la hasha bali inachochea kuua kinga za mwili so hiko kirusi kikija kinakisomba tu. But kama haijaathiriwa na hizo radiation na uko poa inakuwa ngumu kukudhuru. So wansema hii lockdown ni ya kujenga station zake all over the world na wanadunia msione mkija kuachiwa kurudi maisha ya kawaida immune zenu zitakuwa zinashuka tu na mtadondoka sana kwa magonjwa mengine though korona watakuwa wameishaiondoa.
Maama aim kubwa ni kupunguza idadi ya watu duniani ili waweze kuwatawala vizuri (kwa style ya china wanavyotawala watu wake) ndo itakuwa system dunia nzima.
Tena nyie mwenyewe mtaomba hivyo mtaugawa uhuru wenu kwa serikali zenu mtakuwa WATUMWA bila ya kujijua
Hata mimi sielewi uhusiano wake japokuwa naona watu wanazungumzia sama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ni yote huu ya yote lakini tahadhari na kinga ni muhimu

China wanasema uongo
Watu bado wanakufa hawatoi taarifa sahihi
Last week walisema 48 new cases sasa wameishinda vipi?!
Waliwaambia watu walio infected waondoke nchini ndio hao waliokuja hata Africa Europe America
China ni wauwaji wala sio wa kuwapraise kihivyoooo
 
Hii maada ni uchafu... Hata sijataka kusoma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…