China Bar salasala ndiyo habari mpya ya jiji

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,192
1,400
ukipita hapa mchana au asubuhi ni frem tu iliyofungwa kama frem zingine za biashara...asubutuuuu

pita apo kuanzia saa moja jioni na kuendelea alafu uone iyo set-up yao utazimia na roho yako.....wahudumu classic, setup nzuri ya nje na ndani...watu wazuri hakuna maboya boya yanayokunywa apo....parking zenye gari kali aaaah sana....karibuni china bar salasala hutojutia mda wako....
 
Tangazo la biashara umelipia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv hao china Bar sio wale waliokuwa ile njia ya inayoshuka chini ya tangibovu?
 
Tangazo zuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…