Y yang jidon Member Joined Oct 27, 2018 Posts 31 Reaction score 19 Feb 24, 2021 #1 Naomba kujua chimbo zuri la Simu, Laptop na TV za bei za kupoint na imara huku Zanzibar. Naomba ushirikiano wenu wana JF.
Naomba kujua chimbo zuri la Simu, Laptop na TV za bei za kupoint na imara huku Zanzibar. Naomba ushirikiano wenu wana JF.
Mnyatiaji JF-Expert Member Joined Dec 13, 2018 Posts 3,768 Reaction score 4,877 Feb 24, 2021 #2 Wataalamu wanakuja tupate sote
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,759 Reaction score 37,374 Feb 24, 2021 #3 Uwezi kupewa mpaka wakujue maana wanauziana wenyewe na mizigo mingi hipo ndani au majumbani mwao kukuta maduka kama kariakoo ni ya kutafuta tafuta sana.nilishawahi kwenda nikatoka kapa
Uwezi kupewa mpaka wakujue maana wanauziana wenyewe na mizigo mingi hipo ndani au majumbani mwao kukuta maduka kama kariakoo ni ya kutafuta tafuta sana.nilishawahi kwenda nikatoka kapa
D Developer JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 585 Reaction score 1,020 Feb 24, 2021 #4 Nenda Magomeni mitaa ya kwa nasheem
Y yang jidon Member Joined Oct 27, 2018 Posts 31 Reaction score 19 Feb 24, 2021 Thread starter #5 Developer said: Nenda Magomeni mitaa ya kwa nasheem Click to expand... shukran