M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,919 Reaction score 4,709 Jun 30, 2023 #1 Habari wakuu, Nauliza wapi ntapata chimbo la wauza mizani kwa jumla, mizani aina ya camel made in India au Galax maana machinga najaribu kuwadadia wamekua wagumu mno kutoa info.
Habari wakuu, Nauliza wapi ntapata chimbo la wauza mizani kwa jumla, mizani aina ya camel made in India au Galax maana machinga najaribu kuwadadia wamekua wagumu mno kutoa info.
lyenyi JF-Expert Member Joined Mar 4, 2020 Posts 2,693 Reaction score 7,386 Jun 30, 2023 #2 Ni pm nikupe Namba ya muuza mizani aina zote duka lipo kariakoo Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ni pm nikupe Namba ya muuza mizani aina zote duka lipo kariakoo Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 7,040 Reaction score 25,487 Jun 30, 2023 #3 lyenyi said: Ni pm nikupe Namba ya muuza mizani aina zote duka lipo kariakoo Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app Click to expand... Kama anauza kihalali kwanini usiweke namba hadharani
lyenyi said: Ni pm nikupe Namba ya muuza mizani aina zote duka lipo kariakoo Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app Click to expand... Kama anauza kihalali kwanini usiweke namba hadharani
lyenyi JF-Expert Member Joined Mar 4, 2020 Posts 2,693 Reaction score 7,386 Jun 30, 2023 #4 Restless Hustler said: Kama anauza kihalali kwanini usiweke namba hadharani Click to expand... Anauza kihalali, siwezi kukurupuka tu kubandika Namba ya mtu hadharani bila hata kumtaarifu Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Restless Hustler said: Kama anauza kihalali kwanini usiweke namba hadharani Click to expand... Anauza kihalali, siwezi kukurupuka tu kubandika Namba ya mtu hadharani bila hata kumtaarifu Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app