Kinampanda,singida-vipi kuhusu equipment mobilization?? Maana makampuni mengine huhitaji gharama za kumove machine zao pia.
Gharama za upimaji wa enkujua kama maji yapo?? Sampling n.k.
kupima kama maji yapo inategemea na wapi ulipo kama pwani ni utaratibu ufuatao report of ground water survey (kabla yakuchimba kisima ) 185,000 physical and chemical water analysis report (badaa ya kuchimba kisima)185,000

wengine tunatumia simu za mkononi pekee kuku Pm haiwezekani, basi weka Physical Adress maana kuna mmoja kasema ni Buguruni sokoni karibu na Mremis Bar kama unaweza kuelekeza zaid itakuwa bora!