zebanga watelanga
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 862
- 398
Namba za simu ni muhimu sana katika bishara kama hii, kwanini huweki namba za simu?BAHEDELE DRILLING CO.
dealers in drilling borehole, submersible electric
pump and service
Buguruni sokoni
Dar es salaam Tanzania
Kawamaitaji yakuchimba kisima kwa mita kinachimbwa elf 50 kalibuni sana
BAHEDELE DRILLING CO.
dealers in drilling borehole, submersible electric
pump and service
Buguruni sokoni
Dar es salaam Tanzania
Kawamaitaji yakuchimba kisima kwa mita kinachimbwa elf 50 kalibuni sana
Hao jamaa nawajua,wapo pale Buguruni sokoni karibu na Mremis bar. Ni wazoefu wa visima wa siku nyingi Lakini aliyeweka hii thread sijajua kama ndie mkurugenzi au kibarua wake flani. Hajafanya marketing nzuri kwani hajafunguka kufafanua vitu vingi kama walivyouliza wadau hapo juu.
BAHEDELE DRILLING CO.
dealers in drilling borehole, submersible electric
pump and service
Buguruni sokoni
Dar es salaam Tanzania
Kawamaitaji yakuchimba kisima kwa mita kinachimbwa elf 50 kalibuni sana
Sawa hata kama kibarua ndiyo anashindwa kuweka namba ya simu. Kwani kila mtu anaweza kufika Buguruni?Hao jamaa nawajua,wapo pale Buguruni sokoni karibu na Mremis bar. Ni wazoefu wa visima wa siku nyingi Lakini aliyeweka hii thread sijajua kama ndie mkurugenzi au kibarua wake flani. Hajafanya marketing nzuri kwani hajafunguka kufafanua vitu vingi kama walivyouliza wadau hapo juu.
ndio ndugu bei ni iyoyo mana ni pwani iyoKiwangwa bagamoyoo utachimba kwa bei hiyo hiyo?
Sawa hata kama kibarua ndiyo anashindwa kuweka namba ya simu. Kwani kila mtu anaweza kufika Buguruni?
shinyanga tunachimbaa nipiem namba yako tuweze kufanya kazi mkuushinyanga mnafika? mna uwezo wa kuchimba kisima chenye mita 100!gharama ya kisima chenye urefu huo hadi kikamilike ina range kiasi gani?
Hiyo gharama ya 50,000/- kwa nita naamini inajumuisha gharama zifuatazo hapa chini.
1- laboratory tests
2- per diem for staff
3- mobilisation for preliminary survey of the site
4- mobilisation for actual work
5- certification for the source of water as per ministry requirements
7- local taxes v.a.t
8- profit margin not less than 20%
9- renumeration
10- anyother reimbursable and miscellaneous expenses
kinyume cha hapo inabidi uje na mchanganuo wa jinsi gani umepata hiyo rate ya tshs 50,000 per running meter.
ni hayo tuu.