kaka next time usiandike jina kwenye thread wapo wataalam wengi tu.
android kuwa nzito kufungua vitu hilo tatizo linatokana na application zimekua nyingi na umeitumia simu mda mrefu. android ni platform ya ajabu kwani hadi application za camera muda wote zipo on hivyo hufanya ram izidiwe na simu kuwa slow
solution
1. piga moyo konde reset simu uanze upya
njia hii nakuhakikishia itafanya simu iwe faster tena, utaenda menu halafu seting halafu backup and reset halafu factory data reset
utapoteza vitu vyote kama picha, miziki, apps na video.
picha miziki na video unaweza vihamishia sehemu nyengine ila apps ni bora zipotee zote uanze upya.
na ukianza upya download app muhimu tu usijaze application nyingi kwenye simu itakua slow tena. kama hutaki kureset fata njia ya pili ambayo itasaidia kiasi fulani ila haitasolve tatizo.
2. kuclose open application
hapa utaenda menu halafu setting halafu application manager halafu swipe kwenye running application close app zote zisizo maana. pia delete na apps ambazo hutumii.
kama njia ni ndefu unaweza download appa za task manager ili kuclose open application kirahisi.
3. kuacha kutumia touchwiz na kudownload launcher nyengine.
umesema tecno ipo faster na ace yako ipo slow tofaut ya ace na tecno ni touchwiz ambayo hii ni skin imewekwa juu ya android na samsung wenyewe.
nenda store kasearch kitu kinaitwa nova launcher hii ni nyepesi itaireplace touchwiz na kuifanya simu iongezeke speed.
jaribu hayo kwanza
Mkuu nashukuru sn ila ucnambie nickuname coz wengne humu umimi mwingi sn,, Moyo wakujitolea na kusaidia wamejaliwa wachache sn duniani hum,, hii thread ilikuwepo toka majuzi nkaona kmya nkajua2 hujaiona dats y nkakuacknowledge,, wengne wameipita2,, get blcd ma bro,,,thnx vry much acha nijaribu tene
Baba chief upo vizuri nakufananisha na kijana wangu kipind nikiea technical institute 1 dsm alinisaidia sana. Bt chief kuna hiii ishu ya window phone zinashindwa kufungua menu za m pesa na tigo pesa tatizo ninin? Samahani kwa kuingilia topic
Chief naye wakati mwingine miyeyusho tu pamoja kwamba namkubali, nilimuuliza katika thread moja kuwa naweza kuroot htc disire hd bila komputa? Kimyaaaaaaa. Labda sahii anaweza kunioba.
Ila lazima ukubali kuwa jukwaa hili we ni excelence!wadau tunajihis poa the way unavyo solve mambo yetu!Techie-Chief-,miziziology-mzizimkavu!kaka next time usiandike jina kwenye thread wapo wataalam wengi tu.