Chid benz - popompoo pisha
[Verse] - 3
This for hood shit girls, you and your fellows /
Wakongwe hawaendi na muda, yaani wabishi mpaka kero /
Mengi mnayoongea hayafanani nikitokea /
Mnashindana, nikiwashinda mnasema nawaonea /
Kila siku magazetini mu-mbaya mimi, mu-mbaya mimi /
Siku ya mwisho Tanzania inanitunuku tuzo mimi /
Still niko huru, la familia Ilala /
African soldier, black, thin inayong'ara /
Zali halina mentali, mentali ndo ana zali /
Mungu mkubwa kanipa mimi, nashukuru sikose ugali /
Kuandika mistari mimi /
Kaa jukwaani mimi /
Watoto rafiki yao mimi /
Na wewe shabiki wangu mimi /
Kipi nilichofanya mpaka mwenzangu unanikana /
Changu mchonyo /
Vipi cha kwangu tunagombana /
Hello my shoulder, amri sio order /
Waoga, check, mnalewa tu kwa soda.....
ukwaju wa kitambo
0767 542 202