Renatus Edward
Member
- Aug 2, 2011
- 50
- 55
Usichachawe na wasanii wa msimu hao mzee.japo Darassa amefanya kazi nzuri na anafaa kupewa sifa zote..ila still bado sana kumlingalisha na gwiji la mziki wa Tanzania.
wimbo gani mkuu?DARASA amewanunua washabiki wa "K" (katika sauti ya Roma)
[emoji41]
Sizungumzii wimbo mkuu..wimbo gani mkuu?
Sizungumzii wimbo mkuu..
Nazungumzia jinsi washabiki wa "K" walivyokimbilia wote kwa Darasa
Kaka ukiona mtu anatoa maelezo meng jua jiwe limempata muhusikakwa hiyo riwaya yako..
jiwe gizani limefika mahala husika
mi hata cjasoma riwaya yote..Kaka ukiona mtu anatoa maelezo meng jua jiwe limempata muhusika
siyo simba siyo mamba ngozi yangu yatosha kujigamba
Kwimbo gani mkuu?
mi hata cjasoma riwaya yote..
nilipoona tu mipasho mistari ya michache ya kwanza
nikataka nijue ameshia wapi..
nikajikuta nimescroll down X 5
nikawa nshajua tayari
nshaumiza mtu...
[emoji41]
Kaka ukiona mtu anatoa maelezo meng jua jiwe limempata muhusika
"..wa majibu ya kunya.."uswahili huo mkuu!
ulitaka ujibiwe mstari mmoja wa majibu ya kunya?
why killing chatting? mbona uko kishari shari mkuu, unaingiza hela?
furahia maisha!!
Ali Kiba kaingiaje tena!!! Maajabu haya... sasa mada ni ya Diamond; sasa nini kimekufanya ulete habari za Darasa?! Una tofauti gani na mtu aliyeleta habari za Kiba? Na kwa kufuatilia mjadala, wewe ndie wa kwanza kujitoa ufahamu kwa kuingiza suala la msanii mwingine kwenye mjadala unaohusu mssanii mwingine!!darasa? wewe ni robot?
ali kiba anaingiaje hapa?
inauma eeh!
Tangu lini kuwa na free mind kukamzuia mtu kuelezea kile anachoamini ni bora kwake?! Tangu lini kuwa na free mind kukazuia mtu kuandika thread ya kimkakati as you claim?Nilitaka kumpa joto mwanzilishi wa hii thread awe na free mind, any good music is good for the soul..na thread yake ameiweka kimkakati ili wewe utumbukie na makundi
hahaha . ..k ni k buanaAli Kiba kaingiaje tena!!! Maajabu haya... sasa mada ni ya Diamond; sasa nini kimekufanya ulete habari za Darasa?! Una tofauti gani na mtu aliyeleta habari za Kiba? Na kwa kufuatilia mjadala, wewe ndie wa kwanza kujitoa ufahamu kwa kuingiza suala la msanii mwingine kwenye mjadala unaohusu mssanii mwingine!!
Tangu lini kuwa na free mind kukamzuia mtu kuelezea kile anachoamini ni bora kwake?! Tangu lini kuwa na free mind kukazuia mtu kuandika thread ya kimkakati as you claim?