CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 943 Aug 24, 2012 #1 Yampiga Rayon sport kwao bao 2:0. Wafungaji. Hamisi Kiiza aka Diego! Saimoni Msuva aka Neymar!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 24, 2012 #2 kwa hapo kwenye RED umedhihirisha kweli kwamba wewe Yanga DAMUau umpagawa na ushindi?? mandieta said: Yampiga Rayon sport kwao bao 2:0. Wangungaji. Hamisi Kiiza aka Diego! Saimoni Msuva aka Neymar! Click to expand...
kwa hapo kwenye RED umedhihirisha kweli kwamba wewe Yanga DAMUau umpagawa na ushindi?? mandieta said: Yampiga Rayon sport kwao bao 2:0. Wangungaji. Hamisi Kiiza aka Diego! Saimoni Msuva aka Neymar! Click to expand...
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 943 Aug 24, 2012 Thread starter #3 Amavubi said: kwa hapo kwenye RED umedhihirisha kweli kwamba wewe Yanga DAMUau umpagawa na ushindi?? Click to expand... Ok mkuu nimerekebisha!
Amavubi said: kwa hapo kwenye RED umedhihirisha kweli kwamba wewe Yanga DAMUau umpagawa na ushindi?? Click to expand... Ok mkuu nimerekebisha!
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Aug 24, 2012 #4 Asante yanga, asante mwenyekiti manji,..
Anselm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 1,710 Reaction score 291 Aug 24, 2012 #5 Yanga kama kawa,kama dawa... Niliwaambia hapa na nitaendelea kuwaambia huyo Dogo anayekwenda kwa jina la Simon Msuva ni noumar!!
Yanga kama kawa,kama dawa... Niliwaambia hapa na nitaendelea kuwaambia huyo Dogo anayekwenda kwa jina la Simon Msuva ni noumar!!
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 943 Aug 24, 2012 Thread starter #6 Yanga bana!
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,088 Reaction score 40,076 Aug 24, 2012 #7 Yanga Daima Mbele Nyuma Mwiko
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,926 Reaction score 1,159 Aug 24, 2012 #8 Maharage kazi anayo mwaka huu.
W Whisper JF-Expert Member Joined Jun 2, 2009 Posts 502 Reaction score 207 Aug 24, 2012 #9 Wapi Mnyamaaa... Jiandae kula maha Rage
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 943 Aug 24, 2012 Thread starter #10 APR wamechomoa kucheza na YANGA kwa kuhofia kipigo cha 3 ndani ya miezi2.......pia imewatimua wachezaji wote wa nje kwa kile walichosema kwamba hawakuisaidia timu kwenye kagame cup mpaka ikapigwa na YANGA mechi2.
APR wamechomoa kucheza na YANGA kwa kuhofia kipigo cha 3 ndani ya miezi2.......pia imewatimua wachezaji wote wa nje kwa kile walichosema kwamba hawakuisaidia timu kwenye kagame cup mpaka ikapigwa na YANGA mechi2.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 25, 2012 #11 uko juu mkuu, ada ya mja hunena uungwana ni vitendo, yamkini uko Yanga kitwite twite........ ndomyana said: Asante yanga, asante mwenyekiti manji,.. Click to expand...
uko juu mkuu, ada ya mja hunena uungwana ni vitendo, yamkini uko Yanga kitwite twite........ ndomyana said: Asante yanga, asante mwenyekiti manji,.. Click to expand...
M Maswalala Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 149 Reaction score 12 Aug 25, 2012 #12 Mungu saidia iwe hivihivi na kwenye ligi isije kuwa kama Man U kwenye friendly wanaperform poa kwenye ligi wanaanza na kipigo
Mungu saidia iwe hivihivi na kwenye ligi isije kuwa kama Man U kwenye friendly wanaperform poa kwenye ligi wanaanza na kipigo
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Aug 25, 2012 #13 Amavubi said: uko juu mkuu, ada ya mja hunena uungwana ni vitendo, yamkini uko Yanga kitwite twite........ Click to expand... mkuu unajua kushukuru ni jambo la herima alihitaji garama
Amavubi said: uko juu mkuu, ada ya mja hunena uungwana ni vitendo, yamkini uko Yanga kitwite twite........ Click to expand... mkuu unajua kushukuru ni jambo la herima alihitaji garama