Chezea masai ww

wickerman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
408
Reaction score
252
Mmasai alipewa kipaza sauti kwenye msiba aseme japo machache, akasimama akasema.. "Musiba Oyee!!" Jenesa safiii! Amependesa hajapendesa!!? Basi mwenye wifu ajinyonge kwansa kabisa napenda sukuru marehemu sababu yeye nakufa nafanya sisi nakutana na tunakula wali muzuri leo tumekunywa bia na maji ile nauswaga dukani naomba keso ife ingine tuendelee kubaki hapa paka siku ya munada ifike. Musiba oyee!! itikia basi. Mbona nanyamasaa!!
 
Nzuri hii nimeipenda ila hayo maneno matatu ya mwisho ungeyaondoa joke ingekuwa poa zaidi.
 
Hahahahahaha! Ningeikata makofi hiyo masai.
 

Cc. Babarita
 
Last edited by a moderator:

Crazy !!:hand:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…