Mwanamke kama huyu unaanzaje kumtongoza? Hebu wataalam fungukeni!
Hapo hakuna mwanamke khaa..
MadameX mbavu zangu zionee huruma, nimechoka na mizunguko hapa Dar kuondoa ushamba....."utakuwa umeuathiri utalii wangu wa ndani kwa kesho" labda niamke fresh hiyo kesho.Usista du hapo hapo maana curl zimekubali juu, mama mlezi at the same time......mwanajeshi hapo hapo. lol only in Africa.