clement philimoni Member Joined Oct 10, 2017 Posts 11 Reaction score 6 Oct 11, 2017 #1 Bata kumi walikuwa wakidonoa uwele ghafla akakatiza mwewe angani je? Hao bata watakuwa wamemuona mwewe kwa jumla ya macho magapi? Tujikumbushie shule
Bata kumi walikuwa wakidonoa uwele ghafla akakatiza mwewe angani je? Hao bata watakuwa wamemuona mwewe kwa jumla ya macho magapi? Tujikumbushie shule
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 25,002 Reaction score 90,580 Oct 11, 2017 #2 Kwa jumla ya macho yaliyofanikiwa kumuona/kumuangalia huyo mwewe Manake sijui ni bata wangapi walikuwa na interest ya kumuangalia mwewe aliyepita angani(sikuwepo)
Kwa jumla ya macho yaliyofanikiwa kumuona/kumuangalia huyo mwewe Manake sijui ni bata wangapi walikuwa na interest ya kumuangalia mwewe aliyepita angani(sikuwepo)
bhachu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8,752 Reaction score 10,383 Oct 11, 2017 #3 Sijui mkuu
issa mweusi JF-Expert Member Joined May 31, 2015 Posts 1,477 Reaction score 1,139 Oct 11, 2017 #4 Macho kumi tu
KAMUZUBERA Senior Member Joined May 9, 2017 Posts 194 Reaction score 154 Oct 11, 2017 #5 Inategemea mkuu unaeza katika hao bhnata kuna kuna bhata mlemavu wa jicho au sijui inakuaje
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,175 Reaction score 72,244 Oct 11, 2017 #6 We umejuaje ni wote wamemuona?? unakuta wengine walikuwa na ubao hiyo time ya kumuangalia mwewe watolee wapi..yaani aache kula amuangalie mwewe?
We umejuaje ni wote wamemuona?? unakuta wengine walikuwa na ubao hiyo time ya kumuangalia mwewe watolee wapi..yaani aache kula amuangalie mwewe?
clement philimoni Member Joined Oct 10, 2017 Posts 11 Reaction score 6 Oct 11, 2017 Thread starter #7 Joseverest said: We umejuaje ni wote wamemuona?? unakuta wengine walikuwa na ubao hiyo time ya kumuangalia mwewe watolee wapi..yaani aache kula amuangalie mwewe? Click to expand... Hahaha sawa mkuu
Joseverest said: We umejuaje ni wote wamemuona?? unakuta wengine walikuwa na ubao hiyo time ya kumuangalia mwewe watolee wapi..yaani aache kula amuangalie mwewe? Click to expand... Hahaha sawa mkuu
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,175 Reaction score 72,244 Oct 11, 2017 #8 clement philimoni said: Hahaha sawa mkuu Click to expand... poa poa
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,987 Reaction score 189,568 Oct 18, 2017 #9 Hawakumuona