Viongozi goigoi
Member
- Dec 28, 2016
- 50
- 52
Hii kaileta kocha mwenyewe, tusubiri maisha ya Chelsea bila Eden next time
Naam pasi nyingi lakini msaada mdogo na ubaya wa pasi zinapigwa kwenye half ya Chelsea wenyewe, huku ni kupoteza mda kwa namna iliyojifichaNi kocha mzuri lkn si kwa ligi ile ya Uingereza. Kweli pasi 'mingi sana kama yote lakini hazina maana' coz sio productive! Japo Conte alizingua kuwakazia 'wachezaji lialia na kuzira kwa kufanya mgomo baridi wakisemwa kdg kujitoa kwa ajili ya timu' lkn bado atabaki bora sana vs Sarri! Nje ya top 4 inawahusu!
Ha ha, Mwaka huu ndio napambana kupata cheti cha ukocha then mwakani nianze kujinoa mchanganiUkabidhiwe wewe timu mkuu
Na hili ni tatizo kubwa,kocha inabidi abadilike sana na maisha yanaweza kuwa magumu bila Eden hazard msimu ujao
Kila lakheriHa ha, Mwaka huu ndio napambana kupata cheti cha ukocha then mwakani nianze kujinoa mchangani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa mkuu umeelezea vizur sanaChelsea wanachukua mpira pale, Luiz anafinya kidogo anampa Kante, Kante anasogea anampa Pedro, Pedro anafunguka anampa Hazard, Hazard anachambua kama karanga mpaka ndani ya box halafu anarudisha mpira kwa Luiz, Luiz anarudisha kwa Goli kipa, aisee ndio kazi hiyo Chelsea wanapiga pass nyingi kama wapo mazoezini, sasa huo ni mpira au uwendawazimu?
Ndio mbinu za kocha hizo ngumu kufahamu analenga nini.Kocha wenu anachanganya Bangi na sigara ,yaani kante umchezeshe kama attacking midfielder unategemmea nn? Jonginyo yeye Kazi yake kupiga pasi zone yenu tu,na ndiye anaongoza Kwa pasi then sina uhakika kama ana assist hata moja,angekuwa anatoa pasi zone ya adui saiz chelsea ingekuwa inaongoza ligi
Lengo lake build-up ianze chini,sasa kante kucheza attacking zone ni kichekeshoNdio mbinu za kocha hizo ngumu kufahamu analenga nini.
Naona kweli lengo ni hilo na kalitimiza dhidi ya Manchester CityNdio mbinu za kocha hizo ngumu kufahamu analenga nini.
Kocha wenu anachanganya Bangi na sigara ,yaani kante umchezeshe kama attacking midfielder unategemmea nn? Jonginyo yeye Kazi yake kupiga pasi zone yenu tu,na ndiye anaongoza Kwa pasi then sina uhakika kama ana assist hata moja,angekuwa anatoa pasi zone ya adui saiz chelsea ingekuwa inaongoza ligi
Naam pasi nyingi lakini msaada mdogo na ubaya wa pasi zinapigwa kwenye half ya Chelsea wenyewe, huku ni kupoteza mda kwa namna iliyojificha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sarri zamani alikuwa na kosa mmoja, la kuwapangua wachezaji huku Kante akipelekwa mbele, Kovacic/Ross nao wanapatikana mbele, alafu mlinda ukuta anakaba kama anaangalia movie la Sunnillshet vile, anakaba kwa kukodoa macho tu, hatii mguu, hatii mwili, bahati mbaya ni kimbaumbau na bahati mbaya anakuwa targetted yeye na wapinzani wakitaka kufanya maisha magumu kwa Chelsea
Nilihoji mwanzoni mwa msimu, nikasema ukiweka wagumu watatu katikati ambao hakuna creative midfielder hata mmoja huku mbele una Giroud au Morata ambao hawana msaada mkubwa kila wapatapo nafasi, unabaki na watu wawili ambao ni Hazard na mwingine ambaye mara nyingine anakuwaga kama mamluki naye..ukikaba Hazard na Jorginho kikamilifu, basi unakuwa umeikaba Chelsea yote kiurahisi...as long Jorginho anakabia macho huku wakiwa na beki Luiz ambayo mda wowote anajiroga mwenyewe, basi unashinda mechi vizuri au kupata matokeo yoyote yasiyohuzunisha sana
Kosa la pili amelifanya hivi karibuni, kuwasema hovyo wachezaji, mabishano yake na Hazard kupitia press conference kwamba he is more of individual ndio tunaona Bournemouth wanapata matokeo makubwa sasa, huyu ndio key kwa kufanya miujiza yote pale mbele alafu unamsema hadharani tena vibaya,mwisho wa siku anapunguza work rate ambayo inaigharimu the whole team..unhealthy relationship baina ya wachezaji ni moja ya changamoto kubwa za walimu wengi, Sarri maisha yake yanaweza kuwa mafupi pale darajani kama ataendeleza tabia zake za kuhamishia lawama za matokeo mabaya kwa wachezaji wake....
Wanafunzi wazuri wakifeli mitihani, mtu wa kwanza kulaumiwa ni mwalimu ambaye ameshindwa kuwa maarifa au mbinu sahihi namna ya kufaulu mtihani, Chelsea bado ina wachezaji wazuri,na wamemuongeza Gonzalo Higuain katika safu yao ya ushambuliaji, kwa kifupi unaweza kusema wana team imara ambayo wakikosa matokeo basi mbinu za mwalimu inabidi zitizamwe zaidi kuliko performance ya wachezaji...Kante ambaye yupo vizuri kwenye majukumu ya kiungo mkabaji apewe nafasi kwenye eneo ambalo analimudu na Jorginho ambaye Sarri anamuita technical footballer asogee mbele akaongeze creativity
#Steph
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu analysis yako ni nzuri,lakini umeongelea scenario moja tu"Wakati wanamiliki mpira". The opposite is worse for Gorginho kucheza deep midfield. hawezi kuintercept mipira, hana speed , hana physic ya kupambana na wahuni wa EPL. YOUR THINKING IS THE SAME AS SARRI'S AND ITS THE ONE COSTING CHELSEA CURRENTLY. Mpira siyo kuposses tu, inatakuwa kuwa na plan ya kurecover the ball when you loose it.Hayo ni matokeo ya kushabikia mpira wa Premier League tu bila ya kuwa unachungulia na ligi nyengine. Mkuu uwanjani kila mtu anapangiwa na kazi yake. Kwa mfumo wa kocha aliekupo timu inahitaji iwe na deep lying player maker. Sasa huyo kante hata akicheza hapo chini mnapotaka hatoweza kupatendea haki. Atashindwa kuposes mpira inavotakilikana. na ndio mana anachezeshwa Box to Box. na sio attacking kama munavosema. Tatizo lilokuepo ni kua Kante anashindwa kuicheza vizuri hiyo position mpya aliyopangwa na hilo ndio moja ya tatizo kuu la timu. Sasa hilo sio kosa La Sarri wala Jorginho. Tatizo lipo kwa Kante kashindwa kuadopt position mpya na timu iankosa mchezaji mwengine wa kucheza ile position.
Mnaanza kuuliza na assist kiukweli mumelewa na typical british mentality. Jorginho sio kazi yake kutoa assist, assist zinatakiwa zitolewe na Hazard, Pedro, Wilium. Deep lying Midfield kazi yake ku poses game na kucool tempo ya game. pamoja na kuwasplier mipira mawinga na mafull back ili wapate kufanya mashambulizi. sasa ikiwa hao mawinga wanacheza ovyo yeye kahusika na nini? Chelsea wanajitahidi sana kwenye position dominating na hiyo ndio kazi kuu ya Jorginho. Masuala ya mashambulizi ni kazi za wengine amabao kiulweli wanashindwa kuzifanya kazi zao vizuri.