Cheki Kibaka wa Malawi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267

Huyu ni kibaka na Hapo ni Lilongwe nchini malawi karibu na kituo kikuu cha polisi .
 
ni bora wamalawi hawachomi moto...........Bongo sio muda angeshavalishwa tairi za trekta
 
Hapo anashindwa kutoka??? !!! Hakuna kamba ya kuzuia miguu hqpoo!!
 
Baada ya kufungwa hivyo kifuatacho ni kumtosa mtoni au ziwani....
 
ni bora wamalawi hawachomi moto...........Bongo sio muda angeshavalishwa tairi za trekta
yaani hayo yangekuwa ni maandalizi tu na hilo tope lingekuwa ndo petroli yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…