Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
View attachment 31655 View attachment 31656
View attachment 31657 View attachment 31658
View attachment 31659 View attachment 31660
Wamewaonea bure na hii ndiyo shida ya Western culture kutawala dunia! Kila kitu wao hawana mipaka kwa hili FIFA sikubaliani nao.
ukiangalia hao brazili ni tofauti , kuna tofauti ya utamaduni na dini pia. bado tu haujaelewa. cha msingi mapaja ya waarabu wa kike bado ni mali. na mutaendelea kuyasikia tu bali si kuyaona kwa macho........:becky:
fifa wamesema hawana dini wala kabil, so katika soka wasilete masuala ya imani.
ukiangalia hao brazili ni tofauti , kuna tofauti ya utamaduni na dini pia. bado tu haujaelewa. cha msingi mapaja ya waarabu wa kike bado ni mali. na mutaendelea kuyasikia tu bali si kuyaona kwa macho........:becky:
Hii ni timu ya taifa ya wanawake ya Iran iliiyoondolewa kwenye mechi za kufuzu kucheza Olympic 2012 kwa sababu ya "jezi" zao
View attachment 31652
Wenzao Brazil...........