mh,hivi huwa inapita siku bila wachaga kusemwa humu ndani???????????????
Tufike mahali tuache mzaha na imani za watu wengine!Mdogo wangu mseminari alirudi likizo akanitolea hii mpya. Mchaga kidume kampata mwanamke wa pwani ( nahisi darisalama), wakaenda zao kubanjua tunda la heri, mchaga si kakuta mdate wake ana shanga, kamuuliza ' aisee mama angu izi rosari umenunua parokia gani?' kaacha kumega akaanza kusali salamu maria...,
Chagga IS THE CHOSEN NATION LIKE ISRAEL, THATS WHY WA2 HAWALALI KISA WACHAGGAmh,hivi huwa inapita siku bila wachaga kusemwa humu ndani???????????????
Come again please!!!!!😡kama wao washamba tufanyeje sasa.