Check this out!Is it a SCAM or Big deal?

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Leo nimepokea email kwa mtu nisiyemjua anayeonesha yuko China lkn nikajiuliza mara mbili mbili na nikalinganisha na mwenzetu aliyenunua simu za winejeria thread yake hapa chini
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...um/579380-manunuzi-mtandaoni.html#post8270239

Nimezipenda sana bei za Apple iPhone na iPad lkn duuh niliposoma nikaona payment option zao nikajua wale wale wanataka kunichinjia baharini


[/FONT]
 
Matapeli hao mi pia nlishawahi kutana na dealer mmoja anadai yupo Dubai ni mama wa kiarabu ana bei nzuri sana na style yake haipishani sana na ya hao wachina, ila kilichonistua tuu ni payment option
 
Matapeli hao mi pia nlishawahi kutana na dealer mmoja anadai yupo Dubai ni mama wa kiarabu ana bei nzuri sana na style yake haipishani sana na ya hao wachina, ila kilichonistua tuu ni payment option

tena wanatumia Mmama ili uiamini jinsia ya kike...
pili payment option kwenye WEB yao wanaonesha paypal lkn wanapo haribu eti ukishaafanya payment ya kwanza ya pili ndo wataweza ku-accept paypal...yaani ukishalizwa...
 
HAhahahahahha, RUN!, RUN FOR UR MONEY & EGO!!!!! 😛lane: 😛lane:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…