Cheap Samsung Galaxy Note 2 Original for Sell

pex

Member
Joined
Nov 20, 2009
Posts
57
Reaction score
13
Wadau!

Ninauza simu aina ya Samsung Galaxy Note 2 original (32 GB) kutoka Korea kwa Tshs. 450,000/- tu. Simu iko katika hali nzuri, imetumika kwa muda wa mwezi mmoja tu tangu inunuliwe. Simu ina Charger, spika za masikioni na Protection Cover. Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0657621427. Niko Dar es Salaam.
 

Attachments

  • Note 2.jpg
    14 KB · Views: 110

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…