D derickk New Member Joined Oct 15, 2011 Posts 4 Reaction score 0 Oct 16, 2011 #1 dell latitude D600,40GB HARD DISK,1GB RAM,1.9GMZ PROCESSOR 350000TSH CALL 0652133206
N Nzowa Godat JF-Expert Member Joined Jun 15, 2011 Posts 2,785 Reaction score 824 Oct 16, 2011 #2 Kwa matumizi yangu hiyo laptop ingenifaa sana. Tatizo nipo mbali sana, Mbozi. Kwa bei hiyo na specifications hizo! ingenifaa sana.
Kwa matumizi yangu hiyo laptop ingenifaa sana. Tatizo nipo mbali sana, Mbozi. Kwa bei hiyo na specifications hizo! ingenifaa sana.
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Oct 16, 2011 #3 hizo laptop ni vimeo full..mara nyingi hufa kwenye power button...
Chimemena JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,376 Reaction score 453 Oct 16, 2011 #4 Wajuzi wa electronic devices mnaionaje hii aina ya laptop na bei yake. Inaendana kweli?
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,942 Reaction score 8,486 Oct 16, 2011 #5 Chitemo said: Wajuzi wa electronic devices mnaionaje hii aina ya laptop na bei yake. Inaendana kweli? Click to expand... Hujasikia kuna mtu wa Mbozi anasema itamfaa sana hiyo,sijui huenda atatumia kuandikia notisi za kufundishia primary school,40 GB enzi hizi loh
Chitemo said: Wajuzi wa electronic devices mnaionaje hii aina ya laptop na bei yake. Inaendana kweli? Click to expand... Hujasikia kuna mtu wa Mbozi anasema itamfaa sana hiyo,sijui huenda atatumia kuandikia notisi za kufundishia primary school,40 GB enzi hizi loh
ndegeulaya Member Joined Apr 26, 2011 Posts 74 Reaction score 13 Oct 16, 2011 #6 Crashwise said: hizo laptop ni vimeo full..mara nyingi hufa kwenye power button... Click to expand... Mimi nahitaji Laptop ya reasonable price ambayo sinto'regret baada ya kuinunua, sijui ni mashine gani kali, ushauri wakuu!
Crashwise said: hizo laptop ni vimeo full..mara nyingi hufa kwenye power button... Click to expand... Mimi nahitaji Laptop ya reasonable price ambayo sinto'regret baada ya kuinunua, sijui ni mashine gani kali, ushauri wakuu!
S Salvio Mwenda Member Joined Jun 7, 2010 Posts 19 Reaction score 4 Oct 17, 2011 #7 mkuu nna Dell latitude D620. Ina window 7 32bits, duo cuo processor. RAM GB1, HDD 80, DVD ROM, WIFI, BLUETOOTH, I was using since april this year. In good condition and working well. Bei 380,000 tu akiwa interested call me 0717 312184. Nipo kawe
mkuu nna Dell latitude D620. Ina window 7 32bits, duo cuo processor. RAM GB1, HDD 80, DVD ROM, WIFI, BLUETOOTH, I was using since april this year. In good condition and working well. Bei 380,000 tu akiwa interested call me 0717 312184. Nipo kawe