Wandugu wapenzi, kwanza niwape pole watanzania wenzangu wa gongo la mboto, Mungu awape moyo wa uvumilivu kwa yaliyotokea.Pili nitoe HONGERA zangu kwa ARSENAL kuwafunga Barcelona 2-1, najua wapenzi wa Man U na wale wasioitakia Arsenal mema wameumia sana, ila kubali msikubali arsenal ya sasa ni noma.

sisimizi kavaa hirizi:laugh::laugh::laugh:
Big up ArsenaliWandugu wapenzi, kwanza niwape pole watanzania wenzangu wa gongo la mboto, Mungu awape moyo wa uvumilivu kwa yaliyotokea.Pili nitoe HONGERA zangu kwa ARSENAL kuwafunga Barcelona 2-1, najua wapenzi wa Man U na wale wasioitakia Arsenal mema wameumia sana, ila kubali msikubali arsenal ya sasa ni noma.
Masihara hayo au!!?sisimizi kavaa hirizi:laugh::laugh::laugh:
Masihara hayo au!!?
Weee acha mchezooo, Cmba nini?:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2: :A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::first:
Kumbe?Mi nilijua anazungumzia mambo ya maafa.....crap
Nadhan muasilishaji alipotea njia kwa furahaaaaaa!Kuna jukwaa la SPORTS AND ENTERTAINMENT MKUU