GE2025 CHAUMMA ya aahidi elimu bure chekechea hadi vyuo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,924
Reaction score
6,571
Chama cha ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wameahidi kutoa elimu bure kwa watoto wa kitanzania kuanzia Chekechekea hadi elimu ya juu bure iwapo watanzania watakipa nafasi kushika dola.

Akizungumza na vijana kwenye kongamano la vijana wa CHAUMMA kuelekea siku ya vijana Augosti 12 mwaka huu naibu katibu mkuu CHAUMMA Taifa Singo Kigaila amesema serikali huko nyuma ilikuwa ikiwasomesha watoto wa Tanzania bure kwa kutegemea tumbaku, mkonge na mazao mengine na kwamba shule za serikali ndizo Ilizokuwa zikikimbiliwa kwa kutoa elimu bora lakini kwa sasa shule binafsi ndizo zinazokimbiliwa kutokana na ubora lwa elimu.
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa jamaa hata aibu hamna!
Tatizo ni ubinafsi, wanazungumzia uchaguzi wakiwa washachkua chao!🤣🤣🤣
 
Hata Sasa hivi Elimu ni Bure Kwa ngazi hizo.
 
Huyu akiongea anatoa sana mate

Ova
 
Watu wameshawastukia mapemaaa - project za watu hizo - kaa mbali utaingizwa chaka ewe mtanganyika.
 
Ni jambo jema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…