Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema hadi kufikia Agosti 4, 2025 kimepata jumla ya watia nia wa udiwani 2,116 kati ya kata 3,953, sawa na asilimia 53 ya kata zote nchini.Aidha, kwa upande wa ubunge, CHAUMMA imesema ina watia nia 183 kwenye majimbo 162 kati ya majimbo 222, sawa na asilimia 70 ya majimbo yote Tanzania Bara