Chatu aliyeshiba

Kama sio kitu mbuzi sijui au waziri wetu manake sijamsikia siku nyingi
 
Kesha meza alicho meza na anakula siesta kwani weekend ndiyo imesha anza.
 
Imemeza kwa kupitia mdomo wa kichwani au kuna mdomo mwingine?
 
nasikia ukimkuta dizain hiyo alivyoshida ni easy sana kumuua,je ni kweli?
 
nasikia ukimkuta dizain hiyo alivyoshida ni easy sana kumuua,je ni kweli?
Ni kweli lakini kama ataona kuna hatari yoyote na inabidi akimbie basi hujitapisha/cheulisha na kutema hicho kilicho tumboni ili akimbie au kujihami.
 
Huyu ukikutana naye unaweza poteza Network fluu!

Kama ulikuwa unaelekea mashariki unawejikuta uko kusini!

Pepo mchafu sana huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…