Kwa levo ya Simba ya sasa hivi
Wachezaji kama Chasambi, Kijiri, Muhamedi kazi, Mutale, Mukwala, Akjepa, hawafiti kabisa.
Ohua pia ni wa kumtazama kwa jicho la tatu.
Na beki Che Malone.
Beki Chamau ni mturi kupia huyo Malone.
Balua ni bora zaidi na yule mtoto tuliye mtoa kwa mkopo Kabaraka.
Ni kwamba hao hawajitumi kama Kibu, Kapombe, Shabalala, Ateba, Mpanzu, Kamala na Kagoma.
Mwambieni Kocha mipira ya kurudisha rudisha nyuma haitakiwi kwa Karne ya sasa.