charger nadhalilika mnisaidie.

pole sn, mijitu km hiyo mingi tu ila dawa yao nikuwakomalia tu mpaka mwisho hata ikibidi ukakeshe mlangoni pake

Nashukuru kibella24 unaelewa ugumu wa hii kitu
 
suala la kwanza mngemuuliza ndg. charger anadai sh. ngapi...kwa uzoefu wangu nahakika haizidi sh.500...na hapo amekuja kuianzishia thread...ingekuwa buku 7 angeapost kwenye majukwaa yote...

hahahahaha kumbe mnajuana.
Nalog off
 
yani hiyo ilitakiwa imkute mtu anaeweza kudai sasa kama hauwezi nashindwa kukupa mbinu
yani hii ni kama kumsuta mtu vile hupewi njia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…