charger nadhalilika mnisaidie.

umeniwahi, ila nawe ikikushinda niuzie kesi, nnauzoefu wa hayo mambo.
Au kama vipi tushirikiane then tukishaipata nasi tunamtapeli.
Charger yenyewe ya pin ndogo, haiwezifanya kitu.

We Peri hii ni charger ya kobe we jidanganye eti ni pini ndogo utajilaumu.
 
Weka picha yake mkuu utampata leo hii

Jamaa kashajua kuwa wewe ni charger ya pin ndogo ndio maana anakusumbua lakini ungekuwa ni universal charger wala asingekufanyia hivi.
Nalog off

msamehe uone kama hajakulipa

Kwani si ukauze mbuzi wengine huko mbeya? Msamehe tu!

amka sa kumi na moja kaa mlangoni kwake mpaka usiku asipotoka msamehe tu si ya kwako.....

Kama Mbwai-Mbwai bwana, Niuzie kesi mimi-
Atalipa tu.Kamisheni 10% lakini.
Kama uko tayari ni PM kwa Maelezo zaidi.
Fursa ndio hizi watu mnambwelambwela alaaah!

umeniwahi, ila nawe ikikushinda niuzie kesi, nnauzoefu wa hayo mambo.
Au kama vipi tushirikiane then tukishaipata nasi tunamtapeli.
Charger yenyewe ya pin ndogo, haiwezifanya kitu.

mi ntamudu, tena kamishen yangu ndogo tu, 5%. Nnauzoefu wa kutosha na hizo kazi.

suala la kwanza mngemuuliza ndg. charger anadai sh. ngapi...kwa uzoefu wangu nahakika haizidi sh.500...na hapo amekuja kuianzishia thread...ingekuwa buku 7 angeapost kwenye majukwaa yote...
 
suala la kwanza mngemuuliza ndg. charger anadai sh. ngapi...kwa uzoefu wangu nahakika haizidi sh.500...na hapo amekuja kuianzishia thread...ingekuwa buku 7 angeapost kwenye majukwaa yote...

Nipe mbinu kwanza mkuu amount ntakutajia badae
 
suala la kwanza mngemuuliza ndg. charger anadai sh. ngapi...kwa uzoefu wangu nahakika haizidi sh.500...na hapo amekuja kuianzishia thread...ingekuwa buku 7 angeapost kwenye majukwaa yote...

duh, umetushtua mkuu.
Unaweza kuta anadai jero tu.
Ataje kwanza kiasi ndo tumpe mbinu.
 
suala la kwanza mngemuuliza ndg. charger anadai sh. ngapi...kwa uzoefu wangu nahakika haizidi sh.500...na hapo amekuja kuianzishia thread...ingekuwa buku 7 angeapost kwenye majukwaa yote...

haha! Umemshtukia eeh! Atakuwa anadai sh 250 huyu si bure!
 
Na habari nilizozipata kutoka kwa watu wangu jamaa amefikia hatua anatembea kwenye van ya kuuzia magazeti ambayo inasimama karibu kabisa na mlango wake,akitoka tu kwenye van anaingia ndani kwake na ikifika sasa 10 alfajiri anatokomea mitaani.

Weka picha yake mkuu utampata leo hii

anaonekana mjanja sana...sijui kama utampata...cheki alivyo makini...
 
Samahani kwa wanaojua lugha yetu adhimu,hivi mtu anayedhalilika akikuomba msaada ina maana anaomba udhalilike pamoja naye ama? Nauliza tu....kama jibu ndio basi kwa moyo mweupe nakubali kudhalilika nawe mbee!
 
Hahaha 'yahaya unaishi wapiiii kwani jina lako halisi naniiiii
 
suala la kwanza mngemuuliza ndg. charger anadai sh. ngapi...kwa uzoefu wangu nahakika haizidi sh.500...na hapo amekuja kuianzishia thread...ingekuwa buku 7 angeapost kwenye majukwaa yote...

loh aya bwana ila akaisubiri tu
 
mi ntamudu, tena kamishen yangu ndogo tu, 5%. Nnauzoefu wa kutosha na hizo kazi.
Sasa wewe peri unaleta njaa, Mi nishawahi unaingilia mchongo,
Naweza kuelewa kuwa nawewe unautaka mchongo lakini hapa pa kushusha kamisheni ndio umeharibu kabisa kama vipi chukua tenda ila najua utachemsha tu-
Huna uzoefu wa kutosha ila kwangu mimi nikiifanya hii kazi hachomoki atalipa tu,
ANGALIZO: Charger Usihadaike na vishoka wanaosema wanao uzoefu wakudai na vi 5% vyao.
Mkongwe nipo na kwa 10% hela yako yote utaipata nasubiri kusikia kutoka kwako.
 
anaonekana mjanja sana...sijui kama utampata...cheki alivyo makini...

Ndio yeye huyo mkuu anajiandaa kuingia huko kwenye van hapo anacheck soo.
 
Usinikumbushe charger mimi nifanyiwa hivyo hivyo ila mtu mwenyewe kumbe alikuwa na madeni mengi akatorokea nchi jirani. Za kwangu tu alisepa na sh 2,000,000/=
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…