Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
Tamactic junEmbu character gan unamkubali humu katika series ya See
mimi binafsi namkubali tamactic jun (witchfinder ) na Baba Voss
Hii ni moja ya series bora kabisa ila yule queen alipomwambia harlan kneel down before ur queen jamaa akafurah sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Naenda taratibu niko S02 Now [emoji847]
maskin paris at the end anakufu anauliwaBaba Voss + Princess Magra bila kusahau Paris yule bibi anaeambatana na Baba
mwamba anajua sana alafu yuko live kishenziTamactic jun
SizikubaliJapo nasikia Ni nzuri lakini Mimi aizikubali series za history..hata Kama Ni nzuri..Kama GOT Na Vikings
na jina la profile ako ni episode 8 hiyo mzee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Baba Voss.
umenikumbush vikings ngoja nivute ila got aijawah nivutiaJapo nasikia Ni nzuri lakini Mimi aizikubali series za history..hata Kama Ni nzuri..Kama GOT Na Vikings
Ipo netflix??Embu character gan unamkubali humu katika series ya See
mimi binafsi namkubali tamactic jun (witchfinder ) na Baba Voss
Hii ni moja ya series bora kabisa ila yule queen alipomwambia harlan kneel down before ur queen jamaa akafurah sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Naenda taratibu niko S02 Now [emoji847]
Nadhani haipo Netflix ishaitafuta sanaIpo netflix??
hawa ni apple nenden netnaija.seriesNadhani haipo Netflix ishaitafuta sana
mzee huu mziki ni mbaya hata into inasoma namba hapa sema zinawiana flan hivJerlamarel, The Father of Enlightment/Vision(Return of Sighted Generation)
Baba Voss,Edo Voss
Kofun,Haniwa
Paris,Maghra
Tamact Jun,Toad
Queen Kane,Lord Harlan
Hii series imesukwa ikasukika, kidogo inataka kuikaribia Into the Badlands.
usisahu kofun alimla anti yake sibethJerlamarel, The Father of Enlightment/Vision(Return of Sighted Generation)
Baba Voss,Edo Voss
Kofun,Haniwa
Paris,Maghra
Tamact Jun,Toad
Queen Kane,Lord Harlan
Hii series imesukwa ikasukika, kidogo inataka kuikaribia Into the Badlands.
Huwezi kuikuta Netflix sabb watengenezaji ni AppleTV , na AppleTV ni kampuni yakusambaza film kama Netflix tuNadhani haipo Netflix ishaitafuta sana