CHAPUTA wote mbinguni hamuendi

Uzuri ni kwamba HURUMA na REHEMA YA MUNGU NI KUBWA KULIKO DHAMBI ZETU..!

One thing not to forgot is confession.

ISAYA 1:18

Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
 
Na dunia ya sasa mtu unaanguka ghafla unakufa.. Utatubu mda gani kama sio sasa na kuacha dhambi
 
Na dunia ya sasa mtu unaanguka ghafla unakufa.. Utatubu mda gani kama sio sasa na kuacha dhambi
Nayesema hana dhambi basi anajidanganya..! Mimi mkatoliki kama kuna ubatizo wa tamaa ya kubatizwa, vipi hakuna toba ya tamaa ya kutubu???
 
NA MTAKOMA MWAKA HUU SJUI VIZINGA MTAWAPIGA WAKINA NANI."UNAACHA KUPIGA PUCHU KUKWEPA DHAMBI UNAENDA SENGENYA UNAKWEA DHAMBI"
 
I AM Mamba.. Konki Konki Konki Master Oil Chafu.
Zinaa sio fikra au imagination, kwahiyo uko imagine umefika mbinguni ndio unakua umefika ? Chaputa(Fist aid)/Emergency aid sio ngono maana hauwezi kujizini mwenye.
 
we aggy p+hala kweli, yaani UTAMU niukose then niende motoni sawa na yule aliyekubuhu kuunganisha vikojoleo kila kukicha kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…