Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,701
Hela kuna unaruhusiwa, ila ni marufuku kuisaliti hobby yetu pendwa.Acha roho mbaya mkuu hutaki tushiriki kula hela hizo
Wanawake nasikia nanyinyi mnajiunga kwa kasi sana.Hahaa haya
Wanawake nasikia nanyinyi mnajiunga kwa kasi sana.
Karibuni sana chamani.
Hahahahahaha asanteUtamu wajinyime na bado mbinguni hawaendi, haya ni matumizi mabaya ya dhambi.
acheni mizinga mara mojaYah.. Acheni mara moja
Oa ueleweke
MhhhHata wanawake wanafanya hii kitu tena nowadays imerahisishwa kwao kutokana na uwepo wa America nails
Chaputa wote mbingun
U? Achukulia serious.. .mwenzio nasocialize tu hapaWatu wengine wameamua kutokwenda mbinguni,hivi unadhani wewe mtoa mada utaenda mbinguni ata kama hujichui?
acheni mizinga mara moja
olewa ueleweke
ππππMhhh
ndio maana wasiopenda mizinga wanapiga PURIshotamHakuna mwanamke asieomba hela... Hata ukimuoa utamtunza
Kwahiyo unatuambia tuongeze juhudi zakuwadinyua sindio
Dah!Huna experience nzuri Mkuu, kwa sisi Sinor Member wa CHAPUTA, we can pulingi without any woman image. So we are happy and free with this new invention