Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
- Thread starter
-
- #21
Kichwa Kichafu Mwenyekiti wetu Tuhuma za namna hii tutee mkuu
Duniani upate tabu na mbinguni upate tabu pia,kula raha za dunia!
Nakusubiri.. Na kwa hii post idadi kadhaa ya wanachama itapunguaNaona chama letu limeanza kupata msuko suko mpya tena.
Ngoja kwanza niende kwenye page ya Konki Konki Konki Master , nitarudi kulitetea chama.
Njoo kwangu aggie
Naona mmekuja na mbinu mpya za kutuvuta
Kumekucha huko Afrika ya Mashariki.
Huna experience nzuri Mkuu, kwa sisi Sinor Member wa CHAPUTA, we can pulingi without any woman image. So we are happy and free with this new invention
Na wewe pia ni mdau? Haha ubilionea unafanyia nini sasa?
Hahaa mimi simoAtakua bilionea wa shahawa tu huyu
Maandiko yamesema "yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako usitupwe jehanam"ukishaukata inakuaje
Maandiko yamesema "yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako usitupwe jehanam"
Oyooo nakujaaa golden chance kabisa hiiHahaahaaa haya njoo nkukate
muache kubana basi kama hmtaki twende jehanum...Unajidanganya bora nkae kivyangu kuliko kuwa na mwanamke au mwanaume na hata hivyo ntaepuka zinaa..
Umejidanganya... Hata uwe bikra tayari ushafeli mbinguni huendi!!
Fact ni kwamba unazini rohoni mwako!
Zinaa ya rohoni ni matokeo ya kupata picha ya mtu machoni then unmweka akilini.. Baada ya hapo unamtamani moyoni yaani unatamani mfano vera sidika au sanchoka angekua wako.. Then hilo linashindikana unajikuta unaanza kuimagine upo nae kitandani unafanya nae mapenzi in reality huku mikono yako inaendelea kushirikiana na vitendea kazi vyako... Hapo ushazini ndugu yangu
Mathayo 5View attachment 923190
muache kubana basi kama hmtaki twende jehanum...
He he he heNa wewe pia ni mdau? Haha ubilionea unafanyia nini sasa?
Chama haliwezi kupungua wanachama.Nakusubiri.. Na kwa hii post idadi kadhaa ya wanachama itapungua
Acha roho mbaya mkuu hutaki tushiriki kula hela hizoHe he he he
Ni hobby tu aiseeee.
Kama ilivyo ushabiki wa mpira.
Chama haliwezi kupungua wanachama.
Ni chama kongwe sana, tangu enzi za ulimwengu wa kale.
Na bahati nzuri siku hizi karibu 90% ya wanaume Tanzania ni member.
Japo si wote ni member watiifu.