Mpo Wanandoa?
Nilihudhuria semina moja ya wanandoa.
Huko tulipewa assignment ya chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika.
Naombeni mnipe maoni yenu.
Nitaanza.
1. High expectations- mke kuwa na matarajio makubwa sana na kusahau maisha ni kupanda na kushuka.
2.,,,,,,,
Why keep a cow if you can get free milk
Upungufu wa nguvu za kiume au kike
Hii ni nyeti thana ingawa haisemagwi. Utasikia mtu anatoa visababu havieleweki