Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
Kuengezeka kwa vishawishi baada ya ndoa! Hii inatokana na ke kutopendana wenyewe kwa wenyewe!
...
Kufichuka kwa madhaifu yasiotegemewa mwanzo!
...
Tamaa!
Kutoridhika!
Bustani ni mzuri ukiwa mbali nayo!
Ujinga!
tufanyeje sasa mkuu
Tusioane tena!!! :ranger:
Kuengezeka kwa vishawishi baada ya ndoa! Hii inatokana na ke kutopendana wenyewe kwa wenyewe!
...
Kufichuka kwa madhaifu yasiotegemewa mwanzo!
...
Tamaa!
Kutoridhika!
Bustani ni mzuri ukiwa mbali nayo!
Ujinga!
Ushamba,ulimbukeni na ugeni Wa maswala ya mahusiano ndio chanzo kikubwa ..hasa Kwa wanaume!
Haswa kwa mwanaume mshamba na limbukeni wa maswala ya mahusiano hilo ni tatizo kubwa katika ndoa tena ni rahisi hata kudanganyika kwa mchepuko shauri ya ulimbukeni si anakuwa hana uzoefu wa kutosha kuhusu mademu. Akishachepuka tu yupo tayari kumwacha mke wake kwasababu amelimbuka