Channel ten mnakera sana!!!!

Ni king'amuzi kinacho tumia dish! Kinaanza kuuzwa mwez ujao! Bei ni sh30,000 n kulipia kwa mwezi ni 2,000 tu! Kitu clearrrrrr! No zengweeee!
 
kama bado hakijaanza kuuzwa wewe mbona unakisifia kana kwamba umeshanunua na unatumia mkuu?
umejuaje kama ni kizuri.
 
Ni king'amuzi kinacho tumia dish! Kinaanza kuuzwa mwez ujao! Bei ni sh30,000 n kulipia kwa mwezi ni 2,000 tu! Kitu clearrrrrr! No zengweeee!

Mdau we ndo Marketing officer wa hcho King'amuzi cha Azam au nawe unashare huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…